Thursday, 26 December 2013

LUNYAMILA AANZA KUZUNGUMZA


Lunyamila akiwa amelala kitandani hospitalini .PICHA|MAKTABA 

HALI ya winga wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Edibily Lunyamila, inaendelea kuimarika baada ya kuanza kuzungumza kwa kifupi na watu wanaomtembelea kumjulia hali katika Hospitali ya Mwanyamala, Dar es Salaam, ambapo amelazwa.

MKWASA: NAKUJA YANGA, TWITE ANENA

 



Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting,Charles Boniface Mkwasa.PICHA|MAKTABA 


KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa, ameweka wazi kwamba yupo katika mazungumzo na viongozi wa Yanga na yakikamilika atatua Jangwani kuchukua nafasi ya Kocha Msaidizi, lakini kiraka Mbuyu Twite ametoa masharti ya mkataba mpya.

KATINU MPYA TFF AINGIA NA MIKWARA



Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa.Shar





 KATIBU Mkuu mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa, ameliambia Mwanaspoti

LOGARUSIC: MKINIPA YANGA NAFUKUZA MABEKI WOTE



Kocha Mkuu wa Simba,Zdravko Logarusic.PICHA|MAKTABA 

KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amempa pole mwenzake wa Yanga, Ernest Brandts, kwa kupewa notisi na uongozi wa timu hiyo, lakini akasema angekuwa anaifundisha Yanga angewatimua mabeki wanne wa kikosi hicho wakiwamo nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kelvin Yondani.

Monday, 23 December 2013

HAMNIWEZI MTASUBIRI SANA!

Amissi Tambwe.

STRAIKA wa Simba, Mrundi Amissi Tambwe, ametamka kwamba Yanga watasubiri sana kipindi hiki, kwani Wekundu wa Msimbazi sasa ni habari nyingine kabisa. Kocha wake, Zdravko Logarusic, naye amekejeli akisema Yanga hawamuwezi na ataendelea kucheza na akili zao ili kuwapa vipigo.
Simba iliifunga Yanga mabao 3-1 juzi Jumamosi kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe iliyochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Saturday, 21 December 2013

Mcroatia ampa Tambwe mavitu ya uhakika


 

KOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic kwa siku mbili mfululizo amekuwa akimpa mazoezi na mbinu mpya za ufungaji straika wake, Amissi Tambwe ili atishe kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe leo Jumamosi dhidi ya Yanga yenye kipa Juma Kaseja.

Thursday, 19 December 2013

West Ham yaiadhibu Spurs.


Tottenham walifungua mlango katika nusu ya pili wakati Emmanuel Adebayor alipofunga bao lake la kwanza tangu mwezi wa Mei.

Wednesday, 18 December 2013

RAGE AJIVUA LAWAMA SIMBA

Shabiki wa Yanga akiwa kwenye Uwanja wa Kijitonyama jana, huku amevalia jezi yenye jina la mchezaji mpya wa timu hiyo, Emmanuel Okwi anayetarajiwa kuwasili leo kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo.

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameibuka na kusema kuwa lawama za kutokumsajili mshambuliaji wao wa zamani kutoka Uganda, Emmanuel Okwi zielekezwe kwa Kamati ya Usajili na Ufundi wa timu hiyo na wala siyo yeye.

WANACHAMA SIMBA WATWANGANA JANA

Dar es Salaam. Pepo mbaya amezidi kuiandama Simba baada ya wanachama wanaodhaniwa kuwa wa klabu hiyo wanaotoka katika Matawi ya Mpira Pesa na Mpira Maendeleo kutwangana ngumi hadharani.
Tukio hilo lilitokea jana asubuhi mtaa wa Msimbazi yalipo makao makuu ya Klabu ya Simba ambapo uchunguzi wa Mwananchi ulibaini chanzo ni tofauti za kimsimamo baina ya wanachama wa matawi hayo mawili.

Luis Suarez: TUKIENDELEA HIVI UBINGWA WETU


Liverpool, England. Mshambuliaji Uruguay, Luis Suarez amekiri kuwa sasa amefanikiwa kuzikonga nyoyo za mashabiki wa Liverpool baada ya kupitia katika kipindi kigumu mwaka huu.
Jumatatu, Suarez ameshinda  tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2013 ya William Hill Football Supporters’ inayotolewa na Shirikisho la Mashabiki wa soka England.

Tuesday, 17 December 2013

EMMANUEL OKWI BALAA TUPU
















Straika Emmanuel Okwi akifurahia goli wakati alipokuwa akiichezea timu ya Simba, Sasa amejiunga na Yanga. 
SAA 24 baada ya Yanga kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi kutoka SC Villa ya Uganda, wachezaji wa timu hiyo wameupa dole gumba uongozi wakisema: “Asanteni kwa kutuletea fundi.”
Wakizungumza na Mwanaspoti mara baada ya mazoezi ya Yanga jana Jumatatu asubuhi kwenye Uwanja wa Bora, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, wachezaji hao waliupongeza uongozi kwa kusema Okwi ni mchezaji hodari atakayeongeza ufanisi kikosini mwao.

ARSENAL YAPEWA BAYERN MUNICH ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia 













ARSENAL imepewa kibarua kizito katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya mtoano baada ya kupangwa kucheza na mabingwa watetezi, Bayern Munich, Februari mwakani.

SIMBA KULIPELEKA SAKATA LA OKWI FIFA
















Dar es Salaam. Siku moja baada ya Yanga kutangaza  kumsajili mshambuliaji Emmanuel Okwi, uongozi wa Simba umesema hauna ugomvi na mchezaji  huyo licha ya kudai kufuatilia suala hilo Shirikisho la Soka Duniani (Fifa).

KIAMA,ARSENAL MDOMONI MWA VIGOGO














Timu 16 zimeingia kwenye hatua ya mtoano, ambapo timu nane zilizoongoza makundi na nane nyingine zilizomaliza nafasi ya pili.
MARA kipyenga kinapulizwa, Arsenal dhidi ya Real Madrid kwenye mtoano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Hakuna ujanja, vinara hao wa Ligi Kuu England ikiwakwepa wababe hao wa Santiago Bernabeu, inaweza kuangukia kwenye midomo ya vigogo wengine hatari zaidi, PSG, Bayern Munich, Atletico Madrid au Barcelona.

KASEJA ADAKA MASHUTI 17 YANGA

Kipa,Juma Kaseja.














KIPA,Juma Kaseja, juzi Jumamosi aliichezea Yanga mechi yake ya kwanza baada ya kurejea klabuni hapo hivi karibuni akitokea Simba na kudaka mashuti 17 katika dakika 90 za mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar. Mechi ilimalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-2.

ANDY COLE AITABIRIA MAKUBWA TANZANIA

Straike wa zamani wa Manchester United,Andy Cole.














STRAIKA wa zamani wa Manchester United,Andy Cole amesema Tanzania ina vipaji vingi vya soka lakini kinachowakwamisha kucheza soka la kulipwa Ulaya ni miundombinu ya kuwatoa katika hatua moja kwenda nyingine.

SIMBA YAIZIMA KMKM, Logarusic apangua kikosi

Kikosi cha Simba.
 












SIMBA imeichapa KMKM ya Zanzibar mabao 3-1 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa jana Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Katika mechi hiyo ambayo ilikuwa ya kwanza kwa kocha mpya wa kikosi hicho, Zdravko Logarusic ambaye alianza kwa staili ya kuwahamisha namba baadhi ya wachezaji.

OKWI ASAINI YANGA MIAKA MIWILI

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi 















YANGA imefanya umafia, imemsajili mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi kwa mkataba wa miaka miwili na nusu na huenda akaichezea timu hiyo Jumamosi ijayo katika mechi ya Mtani Jembe dhidi ya Simba, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Sunday, 15 December 2013

ROONEY MWANASOKA MWENYE PESA NDEFU ZAIDI UINGEREZA


TIMU yake ya Manchester United inagaragara kwenye nafasi ya tisa katika msimamo wa Ligi Kuu England, lakini straika Wayne Rooney anashika namba moja kwa wanasoka raia wa Uingereza wanaotesa kwa utajiri katika ligi hiyo.

VAN PERSIE KUKOSA MECHI NANE

MANCHESTER United imepata pigo kubwa baada ya straika wake mahiri Robin van Persie kuumia paja na kwamba atakuwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja.
Fowadi huyo wa Uholanzi aliumia wakati akipiga kona iliyosababisha bao la Manchester United kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Shakhtar Donetsk Jumanne iliyopita na sasa majeraha hayo yatamweka nje ya uwanja hadi mwakani.

Saturday, 14 December 2013

MAPUNDA ATAKA NAMBA MOJA SIMBA













Kipa mpya wa Simba, Ivo Mapunda amesema hahofii ushindani atakaokutana nao kutoka kwa makipa wengine wa timu hiyo na kudai kuwa yuko tayari kuikabili changamoto hiyo na hatimaye kusimama langoni kama kipa namba moja.

Thursday, 12 December 2013

OKWI, MAFISANGO WANA SIRI YA MANJI

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji 


INAFAHAMIKA kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, ametangaza kutogombea katika uchaguzi ujao wa klabu hiyo, lakini unafahamu kilichomfanya akaamua kugombea uenyekiti katika uchaguzi mdogo ule wa Julai mwaka jana? Mwenyewe anasema ni kipigo cha 5-0 walichopewa na Simba.

DHAIRA: NIMETIMULIWA SIMBA

Kipa Abel Dhaira 














KIPA Abel Dhaira, ametamka kuwa anajua jambo kubwa lililofanya yeye kutemwa na Simba si kutokana na kushuka kiwango.
Akizungumza na Mwanaspoti, kipa huyo kutoka Uganda alisema kuwa ametemwa Simba kwa madai kuwa alikuwa akiuza mechi mara kwa mara na kufungwa kwake mabao matatu katika mechi dhidi ya Yanga kulizidisha makali ya tuhuma hizo.

TWITE: KASEJA KAIMARISHA ULINZI

Juma Kaseja 

KIRAKA wa Yanga, Mnyarwanda Mbuyu Twite amesema yupo vizuri kimazoezi tayari kwa lolote huku akitamba kuwa kikosi chao kimeongezewa nguvu na kipa Juma Kaseja.
Mbuyu, ambaye kikosini hapo anachezeshwa kama beki wa kulia, ingawa mara nyingine anacheza nafasi ya beki wa kati, kushoto na kiungo hakuitwa kwenye kikosi cha Rwanda ‘Amavubi’ badala yake alibaki Dar es Salaam kwa mapumziko.

SIMBA YASAJILI BONGE LA BEKI KENYA

Musoti 
Simba imefikia uamuzi huo baada ya mapendekezo ya kocha wao mpya, Mcroatia Zdravok Logarusic, ambaye aliambia Mwanaspoti kuwa ameutaka uongozi usajili kipa, beki wa kati na ikiwezekana mshambuliaji.

Tuesday, 10 December 2013

DHAIRA ATUPWA, MAJI BARIDI STOP

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hanspoppe ameithibitishia 


Posted  Jumanne,Decemba10  2013  saa 9:17 AM
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hanspoppe ameithibitishia Mwanaspoti kuwa wamemtema rasmi kipa wao wa Uganda, Abel Dhaira na nafasi yake itachukuliwa na Ivo Mapunda.
Alisema baada ya kumsajili Yaw Berko wa Ghana, sasa wamemuongezea Mapunda ili kuimarisha lango.

KOSTA PAPIC AMCHARUKIA KASEJA YANGA


Kocha wa zamani wa Yanga, Kosta Papic  

KOCHA wa zamani wa Yanga, Kosta Papic amemponda Juma Kaseja kwa kujiunga na klabu hiyo ya Jangwani na kumuita kigeugeu.
Papic, ambaye sasa ni Kocha Mkuu wa Black Leopards ya Afrika Kusini inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza, alisema alichokifanya Kaseja ni kukosa msimamo.

MCHUJO WA LOGARUSIC WAIVURUGA SIMBA SC

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic ameeleza kuwa kuna mambo mengi yanayotakiwa kufanyiwa kazi katika kikosi cha Simba ili timu ifanikiwe na jambo la kwanza aliloona halijakaa sawa ni mishahara ya wachezaji  


MCHUJO wa wachezaji wa Simba unaodaiwa kutangazwa na Kocha Zdravko Logarusic umezua zogo Simba kwani viongozi walitarajia kukutana naye haraka ili kufahamu vigezo vilivyotumika katika mchakato huo.
Inadaiwa Logarusic ametangaza wachezaji 26 wa kuendelea na Simba huku wengine sita wakitemwa kwa madai ya kutohitajika kikosini na kutakiwa kwenda kikosi B.

KILIMANJARO STARS KUIVAA HARAMBEE STARS LEO



Wanaume Killi stars wakishangilia

Timu hiyo ya Kilimanjaro Stars itacheza saa 7:30 mchana kwenye uwanja huo ambao katika mchezo wa kwanza ilicheza hapo na kutoka sare ya bao 1-1 na Zambia, ambayo itacheza na Sudan nusu fainali ya pili mjini Mombasa.

Tuesday, 3 December 2013

Yaya Toure named 2013 BBC African Footballer of the Year


Yaya Toure has won the 2013 BBC African Footballer of the Year award.
The Ivory Coast and Manchester City midfielder, who had been nominated in each of the past four years, beat Pierre-Emerick Aubameyang, Victor Moses, John Mikel Obi and Jonathan Pitroipa to this year's crown.
The 30-year-old told BBC Sport: "I think I've been nominated for five years in a row and finally winning the award is amazing. 
"It's a fantastic achievement because I don't think there has ever been as many quality African players in top-level international football as there are now: Aubameyang, Pitroipa, Mikel, Moses, Salomon Kalou, Gervinho... we have fantastic players.

Sunday, 1 December 2013

LIVERPOOL:Sturridge out for up to two months

Daniel Sturridge: Liverpool striker to miss next 'six-eight weeks'

Liverpool striker Daniel Sturridge has been ruled out for up to two months with an ankle injury.
The in-form England international has scored 11 goals in 14 games for his club this season, including a late equaliser in the 3-3 draw at Everton.
But Sturridge sprained his ankle in training this week and manager Brendan Rodgers confirmed the outlook.
"Daniel Sturridge is out for six to eight weeks, which is obviously a big blow," he told Sky Sports.

TOTTENHAM:Critism Agenda -driven- Villas-Boas

Andre Villas-Boas says Spurs criticism 'agenda driven'

Tottenham boss Andre Villas-Boas feels the recent criticism he has received is "aggressive and agenda driven" and does not reflect his side's league position.
Villas-Boas praised Spurs' display in their 2-2 draw with Manchester United and told BBC Sport: "The champions of England sit one point ahead of us.

PREMIER LEAGUE: Hull earn first-ever win over Liverpool


       













Hull claimed their first ever win over Liverpool as the visitors missed the chance to close on leaders Arsenal.
The hosts went ahead when Jake Livermore's shot took a wicked deflection off defender Martin Skrtel.
A precise free-kick from Steven Gerrard pulled Liverpool level but David Meyler capitalised on some poor defending to put the hosts back in front.
Luis Suarez fired wide but the Reds rarely threatened before Skrtel's headed own-goal ended their hopes.
The victory, Hull's first in 17 meetings with Liverpool, only partially distracted the home fans from their defiance in the face of owner Assem Allam's comments earlier in the day.

SWANSEA: Swansea do not fear Man city - Laudrup

Manager Michael Laudrup says Swansea will show no fear for their visit to high-scoring Manchester City in the Premier League on Sunday.
Manuel Pellegrini's City side have scored 41 goals in 10 home games in all competitions this season, including a 6-0 defeat of Spurs and a 4-1 win against Manchester United.
"They are the best home team in the league," said Laudrup.
"We will show them respect but never fear - you can't play with fear." 
City's impressive home form has seen them score 26 goals in six home games in the Premier League and Laudrup admitted: "It'll be a tough afternoon, but we can only surprise them."

PREMIER LEAGUE: Everton go fourth after beating Stoke


 
Everton moved into the Premier League top four after Gerard Deulofeu masterminded a thumping victory over Stoke on his first league start.
The Spanish teenager had already threatened before firing in at the near post following a neat interchange.
Deulofeu then crossed for Seamus Coleman to make it 2-0 after the break. 
The hosts were a threat from the start, especially Deulofeu, who showed himself worthy of his first Premier League start after a number of strong showings from the bench.
He tested Asmir Begovic with an early free-kick and twice went close before his goal on the stroke of half-time.
Osman, who worked behind

Bale scores hat-trick in Real win

Gareth Bale

Gareth Bale scores his first hat-trick for Real Madrid as they beat Real Valladolid to close in on leaders Barcelona.
Gareth Bale scored his first hat-trick in a Real Madrid shirt as the Spanish giants comfortably beat Real Valladolid to move within three points of La Liga leaders Barcelona.
Cristiano Ronaldo missed the game with injury, giving Bale the chance to take centre stage.
The 24-year-old did so in style as he nodded in the opener before setting up Karim Benzema to head in a second.
Bale sidefooted in Real's third before finishing from eight yards late on.
The Wales international takes his tally to nine goals in 13 appearances for Real since his £85m move from Tottenham in September.
"Gareth Bale has fully adapted to the team. He has a

Zimbabwe: City of Kings Comes Alive

TWENTY TWO thousand tickets will be sold at Barbourfields today as a bumper crowd is expected when Highlanders take on How Mine in the Mbada Diamonds Cup final. This is the first time in the three-year history of the tournament that the final is being hosted outside Harare.Fans making their way into the rest of the ground, for which the PSL has set aside 18 000 tickets, will pay US$1 with the remainder of the tickets sold at the wings for US$5 each.
Kennedy Ndebele, the PSL chief executive, urged fans to come early saying there were no extra tickets for the game.
"We do not want to over crowd the stadium and as such we have 24 000 tickets with a sixth of that set for the wings.

Angola: Cristiano Ronaldo to Visit Angola Next Year

The Portuguese football star, Cristiano Ronaldo, who plays for Spain's Real Madrid, is to travel to Angola in 2014, on a charity work visit at the invitation of Kabuscorp Futebol Club do Palanca.
This was announced last Thursday to the press, in Luanda, by the president of Kabuscorp Club, Bento dos Santos Kangamba.
"Ronaldo has accepted the invitation, it will be a short visit, during which we'll carry out a charity action for needy people", he explained.
According to Bento Kangamba, the chairman of the Portuguese Football Federation, Fernando Gomes, is also expected to be part of the Portuguese star's delegation.

Nigeria: Advocates of Foreign Technical Adviser After Money, Says Erico

Former assistant coach of the Super Eagles, Joe Erico has hailed recent statements from the Nigeria Football Federation, NFF and the Sports Minister, Mallam Bolaji Abdullahi that restated that the country has no need for a foreign coach of whatever class to take the Super Eagles to the 2014 World Cup in Bazil.
Erico who served as assistant coach with Stephen Keshi under Shaibu Amodu in 2002 said the pronouncements from the top shots of sports and football to reaffirm support for Keshi were wise decisions.
"Any such move for a foreigner translates yet to waste of public funds. Foreign coach advocates are purely after money,Erico affirmed, adding that "what has past foreign coaches done in the World Cup? Before anyone mentions foreign coach, let us remember that Las Lagerback was once here, Bora Milutinovic came and Berti Vogts also came.
Except for the Asian continent, we have had them from around the world and those that came in recent times were massive failures and our football suffered under them. So, my heart is with Stephen Keshi because he has done a good job and he remains an ambassador of Nigerian coaches for what he has done.
I will continue to root for him because he is our own. We will get better with time," he stated, adding "whatever we can do using our own resources and people is the ideal thing."
Coach Erico, who reminded the NFF about the need to plan towards making Nigeria's fifth World Cup finals a huge success and not one of mere participation, said past records show that pre-World Cup changes of the national team technical crew in 2002, and 2010 ended in failures.

Tunisia/Congo-Kinshasa: Sfaxien Claim Third Confed Cup Title

Tunisian side, CS Sfaxien has won the 2013 Orange CAF Confederation Cup title despite a 2-1 loss to TP Mazembe of DR Congo on Saturday in Lubumbashi.
Sfaxien annexed the title 3-2 on aggregate thanks to a 2-0 win from the final first leg last week in Rades. The Tunisian outfit this confirmed their status as the most successful in the second-tier continental club championship after successes in 2007 and 2008.
Mazembe led by two goals at half time with strikes from Cheibane Traore and Mbwana Samatta before pacy winger Fakheridine Ben Youssef scored in the dying embers to take game beyond the hosts.
The Congolese got off to a perfect start but paid the price for their failure to bury the several chances that came their way.
It took just 10 minutes to break the deadlock as Traore tapped in a rebound after Sfaxien goalie Rami Jeridi had spilled Given Singuluma's shot unto his path.
Mazembe coach, Patrice Carteron handed starting roles to Ghanaian duo, Yaw Frimpong and Solomon Asante and they made their presence felt with surging runs upfront. Asante in particular remained a constant threat to the Sfaxien backline, and was often fouled by his markers.
On 20 minutes, captain Tresor Mputu set up Traore to double the lead but the Malian blasted wide from close range.
Three minutes later, Samatta scored the second goal from a three-man move with Asante and Mputu as the actors. Mputu fetched Asante, who lobbed for the Tanzanian to blast past Jeridi to set the stadium into ecstasy.
At that point, Mazembe needed a third to kill it and they pressed their opponents further. Sfaxien resorted to long balls relying on the pace of Fakheridine, who was a danger to the Mazambe defence anytime he moved upfront. Their first attempt at goal was on 25 minutes but Fakheridine headed wide from Didier Lebri's cross.
Two minutes before half time, Jeridi was to his side's rescue with a pointblank save from a Traore shot after Mputu had put him through.
Mazembe resumed strongly with Asante tormenting the Sfaxien defence, but lacked the cutting edge upfront. On 55 minutes, Asante weaved his way past his marker and squared Mputu, but the latter volleyed wide. Carteron then varied his tactics with Rainford Kalaba and Boubacar Diarra replacing Siguluma and Samatta.
On 72 minutes, the homers were dealt a major after Asante pulled out after an injury and his replacement Thomas Ulimwengu, announced his presence with a thunderbolt that was spilled out by Jeridi minutes later.
Sfaxien also had their turn with Gabon-import Didier Ibrahim Ndong and Ferdjani Sassi fouling the attacks of the Congolese.
Ten minutes from time, Mazembe kept the visitors defence boiling but Sfaxien survived after Maman Issoufou headed out an Mputu header from a goalmouth action.
Sfaxien returned it in style and in the 88th minute, Fakhreddine stunned the home crowd with a header that beat goalkeeper Muteba Kidiaba for the first and only time in the game. A throw-in effected by Issoufou was flicked by Ferdjani to Fakhreddine, who headed in to make matters worse for Mazembe.
The goal meant Mazembe had to score two more goals to turn the tide their favour but the Tunisians defended gallantly and cruised to victory.
Sfaxien are 660,000 US Dollars richer by the feat and will face Al-Ahly of Egypt in next year's Orange CAF Super Cup.